Dr isaya febu
Member
- Jan 17, 2023
- 71
- 353
Inawezekana kabisa mi ndo nji natumiaga lakini juzi nilitoa kabisa nikamwaga nje pale pale kabla hajalala (uumekulegea )nikaingiza ndani nikajitahidi kundelea aisee kitu kilijanaza wakati nilimalizia nje kabisaKumwaga Nje:
Ndiyo, mwanamke anaweza kupata mimba hata kama mwanaume akimwaga shahawa nje ya uke. Hii ni kwa sababu kuu zifuatazo:
1) Majimaji Ya Mwanzo (Pre-Cum) Yanaweza Kuwa Na Mbegu.
Kabla ya mwanaume kufika kileleni, hutoa majimaji ya awali (yanayoitwa pre-ejaculate). Haya majimaji huweza kuwa na mbegu za kiume, ambazo zinaweza kusababisha mimba endapo zitakutana na yai la mwanamke.
2) Kumwaga Nje Si Njia Salama Ya Uzazi Wa Mpango.
Ingawa njia hii (inayojulikana kama withdrawal method) hutumiwa na baadhi ya watu, si salama kwa sababu:
- Mwanaume anaweza kuchelewa kujitoa (perfect timing).
- Mbegu zinaweza kuvuja kabla hajajitoa.
- Haidhibiti hatari ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa.
Kwa takwimu, karibu wanawake 1 kati ya 5 wanaotumia njia hii pekee hupata mimba kila mwaka.
3) Siku Za Hatari Huongeza Uwezekano Wa Mimba.
Ikiwa tendo la ndoa linafanyika wakati wa siku za hatari (ovulation) yani wakati yai linapoachiliwa kutoka kwenye ovari, uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa zaidi — hata kwa mbegu chache sana.
HITIMISHO:
Kwa hiyo, kama lengo ni kuzuia mimba, ni vyema kutumia njia salama zaidi za uzazi wa mpango kama vile:
- Kondomu
- Vidonge vya uzazi wa mpango
- Vipandikizi, sindano, au IUD (kitanzi)
- Dawa ya dharura kama Postinor-2 (ndani ya saa 72 baada ya tendo)
hii njia unapoitumia unafanya betting tuKumwaga nje bado kupata mimba ni asilimia kubwa maake sperm bado ukishamwaga zinabaki
Ni kuvaa tuu ndomu
kabisa mzeeNdo maana hata accuracy ya hiyo njia sio 100%
Inawezekana.
Mwanao anaumri gani sasa mkuunje ukimwaga hakikisha unakojoa na mkojo kabisa ili usafishe njia😋, tena ukanawe na maji kabisa, nliitumia hii njia sana ila kuna siku nikajichanganya bao lilikuwa tamu mno nikaweka nyavuni na mimba juu 🤣, ila mwenzangu alichangia mie nataka kuchomoa ye alikuwa anafika kileleni akaning'ang'ania 🌝
kama ni bingwa wa timing muda sahihi wa kuichomoa mimba hawez pata, ILA ukishamwaga usiingize tena, mana sperm hua zinabak kweny🍌. so it is a one touch process🤣Kumwaga Nje:
Ndiyo, mwanamke anaweza kupata mimba hata kama mwanaume akimwaga shahawa nje ya uke. Hii ni kwa sababu kuu zifuatazo:
1) Majimaji Ya Mwanzo (Pre-Cum) Yanaweza Kuwa Na Mbegu.
Kabla ya mwanaume kufika kileleni, hutoa majimaji ya awali (yanayoitwa pre-ejaculate). Haya majimaji huweza kuwa na mbegu za kiume, ambazo zinaweza kusababisha mimba endapo zitakutana na yai la mwanamke.
2) Kumwaga Nje Si Njia Salama Ya Uzazi Wa Mpango.
Ingawa njia hii (inayojulikana kama withdrawal method) hutumiwa na baadhi ya watu, si salama kwa sababu:
- Mwanaume anaweza kuchelewa kujitoa (perfect timing).
- Mbegu zinaweza kuvuja kabla hajajitoa.
- Haidhibiti hatari ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa.
Kwa takwimu, karibu wanawake 1 kati ya 5 wanaotumia njia hii pekee hupata mimba kila mwaka.
3) Siku Za Hatari Huongeza Uwezekano Wa Mimba.
Ikiwa tendo la ndoa linafanyika wakati wa siku za hatari (ovulation) yani wakati yai linapoachiliwa kutoka kwenye ovari, uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa zaidi — hata kwa mbegu chache sana.
HITIMISHO:
Kwa hiyo, kama lengo ni kuzuia mimba, ni vyema kutumia njia salama zaidi za uzazi wa mpango kama vile:
- Kondomu
- Vidonge vya uzazi wa mpango
- Vipandikizi, sindano, au IUD (kitanzi)
- Dawa ya dharura kama Postinor-2 (ndani ya saa 72 baada ya tendo)
Huyu bichwa komwe anaongeaga ujinga tuHii picha asiione DIVISHENI FOO
ajali kazininje ukimwaga hakikisha unakojoa na mkojo kabisa ili usafishe njia😋, tena ukanawe na maji kabisa, nliitumia hii njia sana ila kuna siku nikajichanganya bao lilikuwa tamu mno nikaweka nyavuni na mimba juu 🤣, ila mwenzangu alichangia mie nataka kuchomoa ye alikuwa anafika kileleni akaning'ang'ania 🌝
3+Mwanao anaumri gani sasa mkuu
Tehteh....hongera
Inawezekana kabisa mi ndo nji natumiaga lakini juzi nilitoa kabisa nikamwaga nje pale pale kabla hajalala (uumekulegea )nikaingiza ndani nikajitahidi kundelea aisee kitu kilijanaza wakati nilimalizia nje kabisa
kondom ni salama zaidi 100%,,ajali kazini
Dira ya taifa ifikapo 2050 bora kuwa na nguruwe wengi wa kufuga sio kuwa na mada kama hizi.