Mwanaume akisalitiwa anaacha, mwanamke akisalitiwa analipiza, hakuna anayesamehe

Mwanaume akisalitiwa anaacha, mwanamke akisalitiwa analipiza, hakuna anayesamehe

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Kuna wanaume wanahisi wanawake hawaumii sana kama wao kuhusu suala la usaliti, ukweli ni kuwa:

Siku mkeo anakukamata na usaliti hiyo ndo siku umemtafutia mchepuko.

Mke wangu akijafanya ujinga afanye kwa kuamua ila suala la kuchepuka siwezi fanya hivyo,

Baki njia kuu mchepuko sio deal
 
Nyama tofauti, bucha tofauti na utamu tofauti ila heshima ipo pale pale kwa mke.
Hivi nyie wanaume mnadhani sisi wanawake huwa hatukinai na hiyo sousage yenu kila siku na tunatamani kubadilisha tule hata kambale ila tunajizuia tu? Nyie kinachowashinda ni nini?
 
Hivi nyie wanaume mnadhani sisi wanawake huwa hatukinai na hiyo sousage yenu kila siku na tunatamani kubadilisha tule hata kambale ila tunajizuia tu? Nyie kinachowashinda ni nini?
Tatizo lenu mnazama moja kwa moja.
 
Kwani nyie hamzami moja kwa moja ? Kinachofanya mnatelekeza familia zenu kisa michepuko ni nini?
Ukiona hvy bc tatizo linaanza kwa mke, ila cha kwanza kabisa kwa sisi wanaume ni genye tuu
 
Mwanamke anaechwpuka nje dalili namba Moja ni kumdharau Mme wake.
Ukiona mwanamke anakudharau jua keshapata mtambo mpya nje anakuvalue
 
Back
Top Bottom