Mwanaume aliebadilisha jinsia na kuwa Miss Uholanzi

Mwanaume aliebadilisha jinsia na kuwa Miss Uholanzi

carnage21

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
591
Reaction score
1,382
Pichani anaitwa Rikkie Valérie Kolle Mwanaume aliebadilisha Jinsia na kuwa Mwanamke.

Huyu Ndio Mshindi wa Miss Uholanzi 2023.

FB_IMG_16894391812227113.jpg


N.B: uzi umeandikwa kimakosa ilikua kama taarifa na sio kuhamasisha transgender isues[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hivi ukimuangalia huyo unaona uanaume?

Kama ndiyo una ualakini katika utafsiri wa maana haswa ya uanaume.

Huyo ni mwanamke, sema tu alizaliwa na uume. Ana sifa zote za kuwa mwanamke, ila alibandikiwa uume. Hao ndiyo wanaitwa 'transgender'.

Tofauti kabisa na mashoga. Hawa ni wanaume kamili, wenye sifa zote za kuwa wanaume ila wakaamua kuinamishwa.

Transgender ni swala lingine.
 
Back
Top Bottom