Mwanaume aliebadilisha jinsia na kuwa Miss Uholanzi

Mwanaume aliebadilisha jinsia na kuwa Miss Uholanzi

Agenda ya wazungu kwa sasa ni kuhamasisha ushoga ili dunia ipungue watu wanaojielewa au litokee tukio kubwa la kuua nusu ya dunia ili rasilimali zisije zikaisha tukaanza kuchapana risasi wenyewe kwa wenyewe.
 
Huenda atakuja kutembelea vivutio vyetuu siku zijazoo
 
Hivi ukimuangalia huyo unaona uanaume?

Kama ndiyo una ualakini katika utafsiri wa maana haswa ya uanaume.

Huyo ni mwanamke, sema tu alizaliwa na uume. Ana sifa zote za kuwa mwanamke, ila alibandikiwa uume. Hao ndiyo wanaitwa 'transgender'.

Tofauti kabisa na mashoga. Hawa ni wanaume kamili, wenye sifa zote za kuwa wanaume ila wakaamua kuinamishwa.

Transgender ni swala lingine.
Umemzoom?mwili wa ke sio mgumu kama hivyo aisee
 
Back
Top Bottom