Mwanaume aliezaliwa 1978, 1977,1976, 1975,1974,1973,1972,1971,1970

Mwanaume aliezaliwa 1978, 1977,1976, 1975,1974,1973,1972,1971,1970

sicu

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
69
Reaction score
22
Kwanza kuliko yote napenda kujitambulisha.
Mimi ni mtulivu, mtalatibu.
Sipendi kuongea ongea sana.
Si mnene si mwembaba, mfupi, maji ya kunde.
Umri mwanzoni kwa miaka 30

MUME INABIDI
Mwanamme alie wai kuoa, au kuzaa.
Anae jua nini maana ya kulea, na kuwa na jukumu.
Hasie penda kuongea ongea sana.
Anae penda kufikiri vitu muhim vya kimaisha na mtafutaji.
Mpenda utani.
Mweye huruma kwa kila binadam.
Mkarim
Sio mshindani
Anae jiamini
Alie ridhika na maisha yake

Awe mtanzania
 
mie nina wake wawili na vimada watatu, plese join my club
 
Weka picha mama hii biashara ya maneno peke yake hapana,watu wanauziwaga vipande vya sabuni ubungo badala ya simu
 
Dada Sicu, aliye na interest afanyeje ili kupata mawasilano na wewe?
 
Weka picha mama hii biashara ya maneno peke yake hapana,watu wanauziwaga vipande vya sabuni ubungo badala ya simu
bth_LoyalistSenator.jpg
 
Kwanza kuliko yote napenda kujitambulisha.
Mimi ni mtulivu, mtalatibu.
Sipendi kuongea ongea sana.
Si mnene si mwembaba, mfupi, maji ya kunde.
Umri mwanzoni kwa miaka 30

MUME INABIDI
Mwanamme alie wai kuoa, au kuzaa.
Anae jua nini maana ya kulea, na kuwa na jukumu.
Hasie penda kuongea ongea sana.
Anae penda kufikiri vitu muhim vya kimaisha na mtafutaji.
Mpenda utani.
Mweye huruma kwa kila binadam.
Mkarim
Sio mshindani
Anae jiamini
Alie ridhika na maisha yake

Awe mtanzania
Mhhhhhhhhhhhhhhhh!!
 
hebu nitajie mali ulizonazo kama vile jumba (mahali lilipo), magari, miradi, nk. pia niambie HIV status yako (negative or positive). idadi ya watoto na wategemezi (dependants) ulionao. kama unafanya kazi Basic Salary na Gross Salary yako ni ngapi? niko within vigezo vyako: mimi ni mpole, mcheshi, mbunifu, na mambo mengine nayaweka kwenye mabano (...) maana wanasema usimwage kuku wengi kwenye mchele!
 
sifa zooooooooooooote ninazo,tatizo mwaka tuu,kwa nini usichukue na wa mwaka 1979 bana?
 
sicu; Mbona umenipoint hivyö?

Ndiyo sifa zangu zote hizo unazohitaji!
Nafasi hii inauzwa! Karibu!

Kwanza kuliko yote napenda kujitambulisha.
Mimi ni mtulivu, mtalatibu.
Sipendi kuongea ongea sana.
Si mnene si mwembaba, mfupi, maji ya kunde.
Umri mwanzoni kwa miaka 30

MUME INABIDI
Mwanamme alie wai kuoa, au kuzaa.
Anae jua nini maana ya kulea, na kuwa na jukumu.
Hasie penda kuongea ongea sana.
Anae penda kufikiri vitu muhim vya kimaisha na mtafutaji.
Mpenda utani.
Mweye huruma kwa kila binadam.
Mkarim
Sio mshindani
Anae jiamini
Alie ridhika na maisha yake

Awe mtanzania
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom