Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Hicho kiswahili na masharti mama! Du kama watanzania wanatumia lugha ya taifa namna hii bado tuna kazi kweli kweli. Je wewe sifa zako ni zipi binti yangu. Nadhani akina nshomile hapa watawahi maana kitu kinavyoongea ni mitaa ile ile ya amekwenda kurara na allihalibu fweza zangu.
Kwanza kuliko yote napenda kujitambulisha.
Mimi ni mtulivu, mtalatibu.
Sipendi kuongea ongea sana.
Si mnene si mwembaba, mfupi, maji ya kunde.
Umri mwanzoni kwa miaka 30
MUME INABIDI
Mwanamme alie wai kuoa, au kuzaa.
Anae jua nini maana ya kulea, na kuwa na jukumu.
Hasie penda kuongea ongea sana.
Anae penda kufikiri vitu muhim vya kimaisha na mtafutaji.
Mpenda utani.
Mweye huruma kwa kila binadam.
Mkarim
Sio mshindani
Anae jiamini
Alie ridhika na maisha yake
Awe mtanzania