Weka picha mama hii biashara ya maneno peke yake hapana,watu wanauziwaga vipande vya sabuni ubungo badala ya simu
Mhhhhhhhhhhhhhhhh!!Kwanza kuliko yote napenda kujitambulisha.
Mimi ni mtulivu, mtalatibu.
Sipendi kuongea ongea sana.
Si mnene si mwembaba, mfupi, maji ya kunde.
Umri mwanzoni kwa miaka 30
MUME INABIDI
Mwanamme alie wai kuoa, au kuzaa.
Anae jua nini maana ya kulea, na kuwa na jukumu.
Hasie penda kuongea ongea sana.
Anae penda kufikiri vitu muhim vya kimaisha na mtafutaji.
Mpenda utani.
Mweye huruma kwa kila binadam.
Mkarim
Sio mshindani
Anae jiamini
Alie ridhika na maisha yake
Awe mtanzania
mnhhh...
I fit the profile :becky:
ashawahiwa huyo huoni kigezo kimoja ujue kuleaUko sealed? Mi navigezo vyote.
Kwanza kuliko yote napenda kujitambulisha.
Mimi ni mtulivu, mtalatibu.
Sipendi kuongea ongea sana.
Si mnene si mwembaba, mfupi, maji ya kunde.
Umri mwanzoni kwa miaka 30
MUME INABIDI
Mwanamme alie wai kuoa, au kuzaa.
Anae jua nini maana ya kulea, na kuwa na jukumu.
Hasie penda kuongea ongea sana.
Anae penda kufikiri vitu muhim vya kimaisha na mtafutaji.
Mpenda utani.
Mweye huruma kwa kila binadam.
Mkarim
Sio mshindani
Anae jiamini
Alie ridhika na maisha yake
Awe mtanzania