Mwanaume aliezaliwa 1978, 1977,1976, 1975,1974,1973,1972,1971,1970

Hicho kiswahili na masharti mama! Du kama watanzania wanatumia lugha ya taifa namna hii bado tuna kazi kweli kweli. Je wewe sifa zako ni zipi binti yangu. Nadhani akina nshomile hapa watawahi maana kitu kinavyoongea ni mitaa ile ile ya amekwenda kurara na allihalibu fweza zangu.
 
Umepata mama,tena sio kulea tu na vingine vyote utapata sihitaji kwenda kwa wamasai kwanza ni moto mara moja kwa kifupi utaenjoy,U A wellcome.
 
Fanya kazi ww....unataka mtu aliyezaa??we usichana wako ulikua wapi??:A S-cry::A S-cry:
 
Nina izo cfa zote. ila 2takuwa tuna sex mara 4 tu, kwa mwaka. Tuwasliane.
 
Vigezo hivyo huko kwenu mtakuwa mabubu

Kutoa salaam nako huwa kuna saidia, ukute bidada enzi zile analipa alikuwa hata salaam kwa vijana wenzake alikuwa hatoi amekuja kushituka umri umekwenda aliokuwa anawachunia wameshachukuliwa imebidi aje na vigezo vya kutosha
 
Sifa zote ulizotaja ni kama unanizungumzia mimi.
 
Kweli DUNIA imekwisha yaani dada yangu unafanya nini kwanini usimwombe Mungu akupe mume toka kwake jamani haya mm sisemi:nimekataa😱hwell: acha nifunge mdomo yasijekuwa makubwa bure
 
jamani Bundewe wewe si huna mke jamani au ndo unataka uongeze kinda lingine haaa! acha hizo
 
Last edited by a moderator:

Vizingiti vyote ulivyoviweka nimevipita, Natafuta mke wa pili naona unanifaa ngoja niku-pm sasa ili tujuane kwa undani
 
hee! haya hongera zako ila wewe ukati ya miaka 1970 - 1978? hapa sijakuelewa kabisa yani MBA: 'Married But Available'

Hebu nifafanulie hapa maana mhm!
 

Attachments

  • wedd.jpeg
    4.9 KB · Views: 170
Be very careful kuna matapeli wa mapenzi humu ndani.........usijeukaumia
 
Mimi niko hivi;
1.Uraia wangu una mashaka, yaani sio m TZ, by 100%
2.Elimu yangu ya ujanjaujanju
3.Sina kitu,yaani mtu wa kubebwa au kama wanavyoitwa MARIOO
4.Sina wivu wa kupindukia

Kama naweza kufiti ni PM, KESHO TU, NAHAMIA KWAKO:dance::dance::dance::couch2:
 
Hii mpya. Nasubiri akifanikiwa kupata mwanaume aliyewahi kuzaa
 

Fafanua kwenye nyekundu hapo,wa kuoa au wa kuzaa,kama kuoa hapana sitegemei kupata mke JF ila kama kuzaa nipm tupange mkakati wa kutengeneza mapacha
 
Kwa kawaida kuna common traits kwa watu waliozaliwa mwaka fulani, sasa naona anaprefer 1970 - 1978. Big selection....
Nakushauri ushortlist wa 1975 au 1977...
 

Namjua mtu mwenye sifa hizi zoooote wala huna haja ya kuangaika kwake ni pale MAGOGONI, jina lake ni JAKAYA MRISHO...unangoja nini sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…