Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hellow africa
Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika kuwa wanaume ni wabinafsi,waongo, wanyonyaji, watesaji, wababe, hawataki kusaidia kazi za nyumbani na mengine mengi
Ukweli upo hivi
Culture imemtengeneza mwanaume kuwa jasiri na mtoa maamuzi ya mwisho katika familia ndio maana ata kama mwanaume ni mdogo lakini atashirikishwa ilo yeye atoe maamuzi kutokana na culture ilivyo mshep akiwa mdogo
Culture hiyo hiyo iligawanya kazi kulingana na gender kwamaana ipi zipo kazi ambazo mwanaume anaweza fanya lakini zipo kazi ambazo mwanamke hawezi kufanya lakini haiimaanishi kwamba ni kweli hawezi kufanya ila walizitenganisha kwa sababu zao binafsi
Kazi kama za nyumbani kuosha vyombo waliona ni fedhea kwa mwanaume kuosha vyombo ndio maana mpaka leo wanaume wengi wanakataa kuosha vyombo lakini kwangu sioni fedhea kwasababu hii
Je chombo nilicholia sitakiwi kuosha mpaka mwanamke aje aoshe? Na je kama mwanamke asingekuwepo je vyombo vingetumika vikiwavichafu?
Mfumo dume uhuu umetengenezwa kumdidimiza mwanamke katika hali ya uchumi kijamii na kimaisha kwa ujumla mfumo uhuu unamnyima mwanamke haki ya kumiliki mali pia kurithi mali kitu ambacho sio sahihi mtu yoyote anaweza miliki au kurithi kutoka kwa mtu yoyote bila kujali gender yake
Mtazamo wa mwanamke katika jamii
Jamiii inamchukulia mwanamke kama kiumbe dhaifu kwa maana ipi hawezi kujifanyia maamuzi yeye mwenyewe lakini pia jamii inamchukulia mwanamke kuwa mama wa familia hatakiwi kufanya kazi yaani kazi yake kubwa yeye ni kulea familia kitu ambacho sio sahihi jukumu la malezi ni letu sote baba na mama na sio mama peke yake
Dkt. Gwajima D