Mwanaume aliye kwenye mahusiano na Poshy Queen atakuwa na pesa nyingi

Hizo hips zake kwakweli hapana, kama ni surgery arudi kwa Dr kufata chenji yake...hazina mwonekano mzuri amekua kama ni mtu mwenye ulemavu

Hips ziko kwenye magoti, unajua ni kafupi sasa sijui hakakushauriwa mbona hamisa zimekaa vizuri
 
Hizo hips hazina uwiano kabisa na mapaja na vimguu kwakweli hazipendezi, aliemshauri afanye hivyo ana dhambi
 
Yani eti nitoe milion sijui laki 5 kumla star, si ajabu huko ndani ni madudu hamna cha ajabu atachofanya zaid zaid wewe ndo inabidi uoneshe ujuzi na pesa ni yako nyambaf huu ujinga siwezi kuufanya.

Kuna walimbwende kibao hio 1M unakula nae bata na mbususu unapewa yote.

Anewei labda ni ile kutaka sifa kwa washkaji kua nimepiga star nnje ya hapo ni ushamba tu.
 
Halafu sasa ukimla hufaidi maana akishakula kitimoto na wine kazi kubwa inayobaki ni kujipiga picha, hata kujitingisha hawajui yaani utajuta kua nae room, bora kutafuta kuku wako wa kienyeji ukiwa unamla unamweleza nataka tena unajibiwa ni wewe tu baba sio hao vingereza vingi hamna raha yoyote
 
Na hiyo miili ilivyo mikubwa kwakweli sidhani kama kweli wana maajabu. Yani mi hapo nahisi ni ile sifa tu kua nimetembea na star na zile shobo za wanaume washamba wengi.
 
Kumbe unawachekigi wale marafiki wawili Dr nasif na Dr Dubrow wako vizuri sana kama umebolonga au haiwezekani wanakwambia ukweli hawana njaa. Napenda wanavyotaniana [emoji1][emoji1]
Ndio huwa nawacheck na wengi wanaoenda pale huwa wameanza kuhatibika ukiona makalio yalivoshuka nyonyo, hizo pua na lips Bora kubaki tu natural
 
Cosmetic surgery ni gharama na sensitive Sana Sasa hawa wanafanya cheap procedures zingine bado hazijakubali kisheria na kitaalamu wanapata shida sana.
Screenshot_20210822-120415_1.jpg

Sasa hawa wabongo nao wameanza kujichanganya huko kwa gharama hizo tutaanza kuwasikia wanalia muda sio mrefu maana lazima wataenda kwenye cheap procedures 😄😄
 
Cosmetic surgery ni gharama na sensitive Sana Sasa hawa wanafanya cheap procedures zingine bado hazijakubali kisheria na kitaalamu wanapata shida sana.
View attachment 1902869
Sasa hawa wabongo nao wameanza kujichanganya huko kwa gharama hizo tutaanza kuwasikia wanalia muda sio mrefu maana lazima wataenda kwenye cheap procedures [emoji1][emoji1]
Halafu licha ya kuwa ghali ila mwisho tu hufanya sura iwe tofauti aisee.
Wabongo wao wanaenda Uturuki kufanya zile cheap
 
Hivi sajari ni sh ngapi kwani, nami nipitishe bakuli humu nikapunguze kitambi....

Ila makalio ya surgery sijui yanakaaje ni kama mtu amevaa pampas kweli, tena bora kuyaona kwenye nguo tu sio avue

TAKO TAKO tu alienalo analo, hata kama la kichina lakini si kukosa kabisa
 
Back
Top Bottom