Mwanaume aliye serious please.

Mwanaume aliye serious please.

please niko serious nataka mume, anaye maanisha age 28- 32, Christian, me nina miaka 26 Nimeajiliwa hapa Dar

Hakuna mwanaume aliye serious, kama kuna Mtu uliwahi kudate na ukamkubali kwa 50% huyo ndio wako.. 50% iliyobaki Mungu
 
please niko serious nataka mume, anaye maanisha age 28- 32, Christian, me nina miaka 26 Nimeajiliwa hapa Dar

Dah!!...nakosa kigezo kimoja tu hapo, haya bibie kila la heri......
 
Back
Top Bottom