Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Unaweka vigezo vingi mnoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba?Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la JF.. Upendo uendelee. Natumaini mu wazima wa afya, lakini pia tuwaombee wale ndugu zetu wanaotamani kuwa humu lakini wameshindwa kutokana na sababu zisizozuilika.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, mimi ni mtu wa jinsia ya kike.
Sifa zangu ni kama ifuatavyo:
Umri:30-36yrs
Dini:Roman Catholic
Kazi:Self employed
Elimu😀egree level
Sifa za ndani
Sio mnywaji wa kilevi cha aina yyte
Najiheshimu
Mcha Mungu
Najitambua
Mtulivu na msikivu
Mvumilivu nk
Sifa za mwanaume anayehitajika
Umri:37-42.
Mcha Mungu
Awe mkristo mkatoliki
Awe anajitambua
Awe muwazi kwa kila kitu
Awe na huruma, asiwe muongo
Awe na hofu ya Mungu.
Mwisho kabisa awe ameshamaliza kula ujana na awe tayari kwa ajili ya familia, asiwe na mambo mengi.
Nina imani kubwa kuwa ninayemtafuta yupo humu. Nawashukuruni nyote, ila samahani sana wandugu sitoweza kujibu hapa, kwa maelezo zaidi njoo PM majibu yote yapo.
Asanteni na Mungu awabariki.