Mwanaume ambaye hajafanya mapenzi kwa muda mrefu vs mwanaume mfanya mazoezi

Mimi sijapanic napenda heshima iwepo tu basi, hafu Mimi sio kada wa chama chochote

Wapi nimesema wewe ni kada wa chama?
...kuna kada wa elimu, afya n.k
Relax mama!
 
hii ndio Jf...mada nyingine lakini watu wanakuja na argument zao...
 
Nguvu anazo anaekaa mda mrefu bila kufanya mapenzi

Skills anazo mfuksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…