Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Halafu mnikome huku kabisa sio wewe tu na wengine muwe na mipaka sijuani na kenge humu, jibuni hoja zangu zilivo sio kujifanya mwanijua Mimi sijaja humu kutafta chochote hii social platform ka za wengine pia usinipangie chakuandika, na wewe waweza kuandika ukweli wako sikupangii.
Teh, mbona umepanic mama...!?
...mambo madogo tu hayo unachukulia serious hadi unatoa povu lote hilo?
Hahaa...
Au ni bikira yako inakusumbua..!?!