Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Hio kali sana dada yangu oky mimi hapa ni enterprenuer, je niko na nafasi ya ku-kudate my sister.
 
Mimi nakujua wewe ni muhudumu wa afya humtaki muhudumu mwenzio?


Wewe Naniiii Acha zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu afadhali waganga wa kienyeji hatumo kwenye list

Jr[emoji769]
 
siwezi kudate na msichana ambaye haombi hela ya matumizi
 
Washinda Instagram utawajua tu!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mmh. Mleta uzi umesahau walishasema Wahenga "mchagua jembe si Mkulima".

Mie naona kikubwa kuridhiana na kupendana kwa dhati basi popote Penzi linaweza mea.
asante!!
we mwanamke wewe,mi ndo maana nakupenda sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…