Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

HAYA UTULETEE NA UNAOWEZA KUDATE NAO....HAO NIMEKUELEWA JAPO UKIACHANA NA HAO MADERE WA MAGARI YA MASAFA WENGINE WANAKUWA SI WOTE ILA BAAZI YAO...
 
Kupenda kupita kiasi ni ugonjwa na kujiendekeza.

Ukiona umempenda mtu kupita kiasi mpaka ukionacho machoni mwako na kinachokujia akilini mwako ni mapenzi ujue una kasoro.
Mmh. Wapi nimesema kupenda kupita kiasi Mkuu?
 
Unaamini kuwa kazi zinainfluence kubwa sana kwenye maisha yetu?
Zinaushawishi ila sio kwa kiwango kikubwa Dada maana nina mifano hai wa watu katika hizo kazi alizoziandika hapo na wanazifanya miaka nenda rudi ila tabia zao ziko vile vile na wala hazijawahi badilika.

Au ndio tuseme wanabadilika kutokana na mazingira kwamba wakiwa kwenye kazi zao tabia zinabadilika?
 
Mmh. Wapi nimesema kupenda kupita kiasi Mkuu?

Uliposema mapenzi humea popote ulimaanisha nini ?

Hivi kupenda mtu au kumpenda mtu mpaka mambo mengine ya msingi yakose nafasi na kuonekana mapenzi tu,kupenda huku ni kwa kawaida ?
 
Zinaushawishi ila sio kwa kiwango kikubwa Dada maana nina mifano hai wa watu katika hizo kazi alizoziandika hapo na wanazifanya miaka nenda rudi ila tabia zao ziko vile vile na wala hazijawahi badilika.

Au ndio tuseme wanabadilika kutokana na mazingira kwamba wakiwa kwenye kazi zao tabia zinabadilika?
Tuseme tu ni hauwajui vizuri.
 
Uliposema mapenzi humea popote ulimaanisha nini ?

Hivi kupenda mtu au kumpenda mtu mpaka mambo mengine ya msingi yakose nafasi na kuonekana mapenzi tu,kupenda huku ni kwa kawaida ?
@hajar asikudanganye, yeye mwenyewe hana hayo mapenzi yasiyo na macho. Yuko na mtu mmoja matata sanaaaa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Walikuwa wanatuchota tu ili tuwakubali tu hata kama hawan mbele wala nyuma. Ila kuchagua muhimu ati!!!
Kumbe dada. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Lakini Dada amekuja mtu kakutokea ukamkubali na mwisho wa siku anakutajia kwamba anafanya kazi tena zile usizozipenda je utavunja mahusiano au utaendelea?
 
Hahaaaa!! Yaani mimi hadi nimpende nishajua kazi anayofanya. Kama sikuijua nikiijua yaani na mapenzi yanaisha ghafla.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom