Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Hao wote wamekugegeda duh,hongera kwa uzoefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe dada. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Lakini Dada amekuja mtu kakutokea ukamkubali na mwisho wa siku anakutajia kwamba anafanya kazi tena zile usizozipenda je utavunja mahusiano au utaendelea?


Watoto wa kike huwa mnapelekwa na hisia sana,uchunguzi lazima na si huwa mnapenda kudanganywa.
 
@hajar asikudanganye, yeye mwenyewe hana hayo mapenzi yasiyo na macho. Yuko na mtu mmoja matata sanaaaa[emoji85] [emoji85] [emoji85]


Ukweli ndio humea popote sio mapenzi. Mwambie awe mkweli wa kauli na matendo.
 
Walikuwa wanatuchota tu ili tuwakubali tu hata kama hawan mbele wala nyuma. Ila kuchagua muhimu ati!!!


Uongo unaruhusiwa lakini ndani ya ndoa. Uongo wa nje ya ndoa ni ubazazi na wewe mtoto wa kike kwanini ukubali kuchotwa ?
 
Mimi ni mpasua mbao. Natumai utanipa usajili wa kudumu.

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…