Mwanaume ambaye siwezi kuwa na mahusiano naye ni wa aina hii...

Vipi mimi fundi simu, naweza pata kauchi kako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulijaribu kuwafahamu kiundani au story tu za vijiweni
 
Ok safi kumbe mie bodaboda naweza kutuma maombi ya kuwa husband wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…