Mwanaume anaefanya haya namuona si rijali

Ndo wale wale mwanaume huwezi kusema mambo ya mwanaume usiemjua kwa kuhisi hisi ni dalili za upunga
 
Wewe itakuwa ume expire inatakiwa ujiupdate tu mkuu
 
Duh! Kweli jau
 
Mwanaume aliye busy kuchambua wanaume wenzake yupo kundi moja pia[emoji38][emoji38]
 
Hiyo namba mbili sioni uhusiano wake na hoja yako, ila fresh tu ni mtazamo. A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…