Mwanaume anaefanya haya namuona si rijali

Mwanaume kunywa Savanah na popcorn,mwanaume kuvuta menthol,mwanaume kuwa na madeni unatakiwa kudaiwa na benki tu siyo mtu binafsi ni umama.
 
Hapo kwa tatuu uninitaka ubaya come and see my bigfu*king di"*k
 
Hayo yote uliyoandika ni mbwembwe....kipimo tosha mpe mzigo....akikuchapa sawasawa ukatoka nafsi yako imesuuzika hamna tatizo....Hayo mengine msamehe tu..na mueleweshe
 
Hayo yote uliyoandika ni mbwembwe....kipimo tosha mpe mzigo....akikuchapa sawasawa ukatoka nafsi yako imesuuzika hamna tatizo....Hayo mengine msamehe tu..na mueleweshe
Wewe ni shoga na mwandiko wako unadhihirisha hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…