Mwanaume anaejisifia sana ni mweupe sana kwenye majambozi

Mwanaume anaejisifia sana ni mweupe sana kwenye majambozi

Wanaume wa kila aina umetest, hapo radha kwako ishaisha k ishakuwa km ng'ombe kajifungua mwanaume akipiga moja hana hamu tena
 
Huu mbona kama uandishi ni wa KIUME

nawasi wasi wa jinsia ya mtoa mada
 
Kuna wale wanaojifanya wanaume kumbe ni wanaume suruale kutwa utakuta wanashinda kwenye kioo kujipodoa. Hawa hupenda kuvaa vimodo usipoangalia vizuri utadhani ni binti hadi kuongea wanabinua midomo na kubana pua, kwa kuunga unga ila ukimkuta kwenye mitandao anavyojisifu utadhani ni kweli kumbe msingi kiuno tuu na ukiingia nae faragha dk tuu kaishiwa nguvu kabisa, tukija kwa wale wanaoshinda gym kutwa nzima kutanua vifua ili wapendwe na kulelewa na mijimama mjini.

Hawa nao ni tatizo utakuta wanajisifu tuu mimi noma napiga mzigo wa maana ila unaweza kutoka nae akawa kama bodgad tuu kwenye majambozi akawa mweupe kiukweli tunapoteza nguvu kazi kwa vijana kupenda utelezi sana mmesahau kutafuta pesa kutwa mnashinda kujisifia na kusema wanawake hawafiki kileleni mapema tafuteni pesa acheni kulia lia pesa zikiwepo kumfikisha mwanamke kileleni ni chap tuu.
Mpaka demu anaishangaa mwenyewe "show" mbovu na ya hovyo kabisa aliyopewa. Anaishia kulalamika kwa maumivu....

Achi Tanga..🥺!? Tanga gani hiyo😩!
 
Back
Top Bottom