Mwanaume anahitajika apa

icca

Senior Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
185
Reaction score
175
naitwa Aicca icca, mimi ni msichana wa miaka 24 soon 25,natafuta mwanaume badae awe mchumba na mme,nature ya kazi inanifanya niwe mbali kidogo na kuendana na ulimwengu unavoenda,
mimi ni mkristo nahitaji mwanaume mkristo umri kuanzia 27-31.mwenye upendo wa kweli mwenye hofu ya Mungu pia.
mind you:sio kila mwanamke anaetoa uzi apa anakua ajielewi wengne tupo seriuos sana,kwa alie serious tu karibu pm.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja wajeeeee..

sent from my desktop computer
 
Mimi nina miaka 30 ila ulevi wangu mkubwa ni vumbi la kongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…