Mwanaume anahitajika apa

Mwanaume anahitajika apa

Moja ya vitu vinavyodetermine umakini wa mtu ni pamoja na iandishi;

1. Herufi kubwa mwanzo wa sentensi;
2. Kuacha nafasi kila baada ya neno, kituo au mkato;
3. Usahihi wa spelling; na
4. Lugha za kujihami.

Unapotoa tangazo la namna hii jaribu kuzingatia hayo kwa uchache kwa sababu wengi wanakusoma kwa ulichokiandika.
Iandishi ndo nn na ww...
 
Nilikua nampango wakuleta Uzi hapa wakutafuta my wife mwenye sifa zilizo tajwa Dada sasa sijui ndio nimejibiwa kabla!Dada ICCA karibu pm tufunge huu Uzi!
 
Back
Top Bottom