Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakufa kwa ugwadu na huo udomo zege wako...
Hiyo namba is not my official number is only for emergence thing.Utakufa kwa ugwadu na huo udomo zege wako...
Kwani huko mtaani unako kaa hawapo hadi uanze kuanika namba hapa
Nyie ndo huwaga mnanyonywaga damu gesti kwa kupenda kitonga
BooooooooooooooooooooHiyo namba is not my official number is only for emergence thing.
Mpaka nikufahamu zaidi ndo naweza nikatoa number yangu rasmi ambayo ni available 24 hours.
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona madenge ni mjanja kuliko wewe?Hiyo namba is not my official number is only for emergence thing.
Mpaka nikufahamu zaidi ndo naweza nikatoa number yangu rasmi ambayo ni available 24 hours.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitazidi kukuombea Mungu akupe hitaji la moyo wangu.naitwa Aicca icca, mimi ni msichana wa miaka 24 soon 25,natafuta mwanaume badae awe mchumba na mme,nature ya kazi inanifanya niwe mbali kidogo na kuendana na ulimwengu unavoenda,
mimi ni mkristo nahitaji mwanaume mkristo umri kuanzia 27-31.mwenye upendo wa kweli mwenye hofu ya Mungu pia.
mind you:sio kila mwanamke anaetoa uzi apa anakua ajielewi wengne tupo seriuos sana,kwa alie serious tu karibu pm.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh tehmbona madenge ni mjanja kuliko wewe?
Mkuu kwani ujanja unaupimaje? Tuanze hapombona madenge ni mjanja kuliko wewe?
Lazima ana shida...
unawezaje kuanika number yako hadharani ivo kisa mwanamke?
Hiyo line ipo kwenye wireless router yangu ambapo ukipiga me sitajua labda tuma text. Lakini line iliopo kwenye cm yangu siwezi kuiweka hadharani.unawezaje kuanika number yako hadharani ivo kisa mwanamke?