Mwanaume anahitajika apa

Mwanaume anahitajika apa

Siwaaminigi nyie kabisa, kama wamekususia huko kitaa wa mtandaoni ndio tunataka vibovu??! Weka pcha kama vp

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Utakufa kwa ugwadu na huo udomo zege wako...

Kwani huko mtaani unako kaa hawapo hadi uanze kuanika namba hapa

Nyie ndo huwaga mnanyonywaga damu gesti kwa kupenda kitonga
Hiyo namba is not my official number is only for emergence thing.
Mpaka nikufahamu zaidi ndo naweza nikatoa number yangu rasmi ambayo ni available 24 hours.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naitwa Aicca icca, mimi ni msichana wa miaka 24 soon 25,natafuta mwanaume badae awe mchumba na mme,nature ya kazi inanifanya niwe mbali kidogo na kuendana na ulimwengu unavoenda,
mimi ni mkristo nahitaji mwanaume mkristo umri kuanzia 27-31.mwenye upendo wa kweli mwenye hofu ya Mungu pia.
mind you:sio kila mwanamke anaetoa uzi apa anakua ajielewi wengne tupo seriuos sana,kwa alie serious tu karibu pm.
Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitazidi kukuombea Mungu akupe hitaji la moyo wangu.
 
Back
Top Bottom