NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Hapa nazungumzia wenye uchumi wa kawaida, tuachane na mapedeshee ambao hata wakikosa kuni za kuotea moto wanaweza kuchoma vibunda vya pesa, ligi nyingine hizo, kwao neno mizinga ni matunzo.
Yes mapenzi ya sasa ni pesa lakini lazima tujue hiyo pesa inatumikaje katika mapenzi kwa sababu kukosea kutumia pesa katika mapenzi ni kosa kubwa sana.
Mwanamke anaweza kukutana na wewe kabla ya kuona na gari. The way you look ndio itakupa marks. Mfano kitaa, kwenye party, mkutano, n.k, kukuona wewe kwa jinsi ulivyo wewe kama wewe.
Ukiwa unajua kuvaa na huna gari waweza kumnasa ataevutiwa na jinsi ulivyo
Ukiwa sio mtanashati ila una gari, mizinga ni kitu pekee kitafanya uendelee kuwa nae.
ukiwa mtanashati + una gari,, penzi linazidi
Wanawake wanawapiga mizinga mirefu wenye gari maana akilini mwao gari ni sawa na atm kumbe hali no tofauti, mwenye gari anaweza kukwanguka takribani milioni kumhonga mwanamke moja kwa kipindi kirefu lakini mtanashati akatumia kiasi hicho kununua nguo kali.
Mweny gari utaishia kuwa na huyo huyo mwanamke wako ambae baada ya miezi kadhaa pumzi ya kumhonga itakata maana ataanza mizinga mirefu zaidi ambayo utakuwa huna uwezo nayo, ataenda kwa mwingine mwenye nyingi zaidi lakini yule mtanashati kwa mavazi yake ata attract hata visu 10
Hapo wote wametumetumia pesa kwenye mapenzi, mtanashati katumia pesa kujipenda mwenyewe ili awe na mvuto, mwenye gari katumia pesa kumpa rushwa mwanamke ili ampende.