Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa pisi nyingi kuliko mwenye gari

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Hapa nazungumzia wenye uchumi wa kawaida, tuachane na mapedeshee ambao hata wakikosa kuni za kuotea moto wanaweza kuchoma vibunda vya pesa, ligi nyingine hizo, kwao neno mizinga ni matunzo.

Yes mapenzi ya sasa ni pesa lakini lazima tujue hiyo pesa inatumikaje katika mapenzi kwa sababu kukosea kutumia pesa katika mapenzi ni kosa kubwa sana.

Mwanamke anaweza kukutana na wewe kabla ya kuona na gari. The way you look ndio itakupa marks. Mfano kitaa, kwenye party, mkutano, n.k, kukuona wewe kwa jinsi ulivyo wewe kama wewe.

Ukiwa unajua kuvaa na huna gari waweza kumnasa ataevutiwa na jinsi ulivyo

Ukiwa sio mtanashati ila una gari, mizinga ni kitu pekee kitafanya uendelee kuwa nae.

ukiwa mtanashati + una gari,, penzi linazidi

Wanawake wanawapiga mizinga mirefu wenye gari maana akilini mwao gari ni sawa na atm kumbe hali no tofauti, mwenye gari anaweza kukwanguka takribani milioni kumhonga mwanamke moja kwa kipindi kirefu lakini mtanashati akatumia kiasi hicho kununua nguo kali.

Mweny gari utaishia kuwa na huyo huyo mwanamke wako ambae baada ya miezi kadhaa pumzi ya kumhonga itakata maana ataanza mizinga mirefu zaidi ambayo utakuwa huna uwezo nayo, ataenda kwa mwingine mwenye nyingi zaidi lakini yule mtanashati kwa mavazi yake ata attract hata visu 10

Hapo wote wametumetumia pesa kwenye mapenzi, mtanashati katumia pesa kujipenda mwenyewe ili awe na mvuto, mwenye gari katumia pesa kumpa rushwa mwanamke ili ampende.
 
Wewe utakuwa huwajui wanawwke ama kama ni mwanamke basi ni wale wa krne ya 19 yaani unaringanisha ndiga na mavazi mzee kwa ufupi ni kwamba ata uvae nguo za sh ngap ama uvae vizuri kwa kiasi gani bado mwenye ndinga akija atangoa pisi yako na kuila mbususu ata kama akija kavaa magunia kwenye ilo gari lake ndugu kitu inaitwa gari kwa wanawake weka mbali na watoto asee
 
Tafuta pesa ununue gari mkuu na utawapata sana
 
Hata mwenye bodaboda tuu
 
Pesaaa, ukiwa na pesa hauwi mchafu hivo tayari ni utanashati, madingi yanavaaga shati kubwaa la mikono mifupi na cadet au jeans ambayo miguuni imeachia,Takoni lina kama milioni, kwenye simu kama milioni,hapo nje lina vanguard,kluger au Land cruiser

Demu hapo haangalii muonekano hata siku moja
 
Kupendeza ndo mpango Bora nisiwe na gari ila mitupio ya maana ,unyunyu mkali ndo mpango mzima.
Unyunyu na jua ,ndio unakua unanukia lakini unafuta jasho,au kipindi hiki cha mvua unyeshewe

Una choice ngumu sana bro
 
Sio kweli kabisa, kama huna gari utang'oa pisi nyingi ila za kawaida. Pisi za maana lazima uwe na gari.
 
Mwanaume tafuta pesa, miliki ndinga, acha kabisa kujificha kwenye kivuli cha utanashati, we kwa hili jua linavyowaka sahii mwanaume huna ndinga mke wako unampandisha mifadaladala

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna formula kihivyo kwenye kung'oa, 'saundi' zako tu ndio zitakupa au kukosesha
Mkuu, mimi ni domo zege. Lakini personality yangu ya kuvaa minguo mipana kama ya Migos, sura kaksi ya yule mwenzao na akina Tin white, kutokuchekacheka ovyo, vitisho n.k sifa mbaya mbaya zinanifanya nakula papuchi mpaka kero
 
Mkuu, mimi ni domo zege. Lakini personality yangu ya kuvaa minguo mipana kama ya Migos, sura kaksi ya yule mwenzao na akina Tin white, kutokuchekacheka ovyo, vitisho n.k sifa mbaya mbaya zinanifanya nakula papuchi mpaka kero

Sasa hizo papuchi unazila bila kutoa vocal...yaani wachuchu wanakuja tu kukushika mkono na kukupeleka lodge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…