St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
Inategemea uko nchi gani na ni kabila gani. Huku kwetu masaini mwanaume wa miaka 15 kama hujaoa inabidi utambikwe.
Sasa si uoe. Anzisha thread tufanye applications.
Halafu St. Paka Mweusi na King'asti hamlali?
Halafu St. Paka Mweusi na King'asti hamlali?
Kabila Msukuma kwetu Maswa,kwa sasa naishi kwa kusafiri,sehemu tofauti tofauti,ila hapo nilipokoleza wino dah....Itakuwa ngumu Kidooogo kwa sasa...
Bado uko uko kwanza eeh? Angalia usijefikia unaoa hamadi!!....unaoa bintiyo wa nje bila kujua au ukaoa mke; then kina Arushaone tukakusaidia kazi zetu zile za kusimika mzizi.. Ushaanza kuzeeka bhana! OA tutakuchangia usiogope. LISEMWALO LIPO.
Ngumu kwa nini sasa? Acha kutubania baba. Ila wasukuma hawazeekagi, hukawii kuao at 60. Kwani kama unasafiri si unabeba parcel yako? Unajiolea selule kama natalia, unampa ki-ipad anakufuata kila uendako.
Chochea karama yako, chocjeaaa.
Mkuu Mtakatifu Black Cat, Huyu shemejio nayeishi nae kitanda kimoja nliweka ndani nikiwa na 26 yrs. Yaani kudadadeki maisha ni kama tumeyaanza pamoja na mai waifu.... Ma eji meti zangu wananionea wivu sana wakiona mabinti zangu walivo wakubwa wakati wao bado wananyonyesha..... Manina zao!
Pamoja na hayo yooooote, eti bado mama yangu alikuwa analalama eti nimechelewa sana kuoa....khaaa!!! Sijui alitaka niwowe wakati bado niko fom foo??
Hehehehe! Haya bana, kuna swahiba angu agemate wako kila tukimkumbusha kuwowa anasema eti "Namsubiri mama mkwe azaliwe"..... Kudadadadeki, hebu imajin mpaka mama mkwe azaliwe ndo amzalie mke yeye bado yupoyupo tu....:nimekataaKwa mtaji huu babu ODM ni kweli wanaosema ninazeeka wana hoja ya msingi,maana kwa umri uliokuwa nao ulipomkamatia bibi yetu basi kwangu mimi angezea na 11 hapo,na bado niponipo sana..nani anataka kuibiwa maisha haya na Tego ya Temeke bado sijaipata
Hehehehe! Haya bana, kuna swahiba angu agemate wako kila tukimkumbusha kuwowa anasema eti "Namsubiri mama mkwe azaliwe"..... Kudadadadeki, hebu imajin mpaka mama mkwe azaliwe ndo amzalie mke yeye bado yupoyupo tu....:nimekataa
Oeni bwana, acheni kukopa watoto wa watu. Penzi halikopwiii!
Sasa ww mtakatifu, ina maana akiwa gelofrendi si ndo anaweza kuibiwa kabisa? Bora ajihakikishie kabisa kuwa.unammiliki, ohooo.
Watu wa Type yenu ndo mnaokula mama wakwe zenu. hebu imajin Black Cat uwowe mtoto wa charminglady, siku mkeo akiwa kasafiri kwenye unajimu wa kina mama wa kila mwezi afu charminglady akawa kaja kuwatembeleeni atapona kumiminiwa viprotini kiduchu kwa hisani ya binti yake? Mi nshawastukieni nyie watu wa bado mupo mupo....!!Babu hauishi vituko nimecheka kwa sauti mpaka naogopa alfajiri hii....wasije wakafikiria nimashapagawa hahahahahahah
Watu wa Type yenu ndo mnaokula mama wakwe zenu. hebu imajin Black Cat uwowe mtoto wa charminglady, siku mkeo akiwa kasafiri kwenye unajimu wa kina mama wa kila mwezi afu charminglady akawa kaja kuwatembeleeni atapona kumiminiwa viprotini kiduchu kwa hisani ya binti yake? Mi nshawastukieni nyie watu wa bado mupo mupo....!!
Ee Bwana, Twakuomba utusikie.Astaghafirulah babu,mifano mingine inakwaza,utanifanya nifunge na kuomba charminglady ajifungue mtoto wa kike ili siku za usoni utabiri wako utimie...hahahahahaha
Oeni bwana, acheni kukopa watoto wa watu. Penzi halikopwiii!
Sasa ww mtakatifu, ina maana akiwa gelofrendi si ndo anaweza kuibiwa kabisa? Bora ajihakikishie kabisa kuwa.unammiliki, ohooo.