Mwanaume anazeeka akiwa na umri gani..??

Mwanaume anazeeka akiwa na umri gani..??

mie simo! Halafu mbona hujasema lolote kuhusu safari ya Tanga babu!? Au ndio sapraizi?



Ya uchawini huachwa hukohuko uchawini,hujasikia kuwa alienda pamoja na yule aliyeenda kuchaji hirizi yake ya mvuto baada ya kuona Buzi Ruttashobolwa linakaribia kukata kamba....hahahahahahh
 
Last edited by a moderator:
Thubutuuu!mringe mna ubavu? Nt in tz labda nchi zingine


We endelea hivyohivyo kutoamini na sasa hivi tunaandaa mgomo kabisa waoaji,mpaka mpunguze vigezo na masharti,mtu naenda kuoa interview utafikiri anatafutwa CEO wa Barclays bank..
 
Nimechoka na pressure toka kila kona wakuu,kila kukicha unazeeka ,unazeeka na nikiuliza nazeeka kivipi wananiambia mpaka leo hujaoa tu bado unasubiri nini..??Au unataka wanao waje kukuita babu.Naomba ufafanuzi wenzangu hivi mwanaume mpaka aanze kuandamwa hivi inaonekana kuna walakini sehemu fulani.Ni lini na katika umri gani hasa mwanaume anapokuwa amezeeka na amechelewa kuoa..:crazy::crazy::crazy:

Copy: Arushaone Asprin Madame B Arabela zubedayo_mchuzi Preta Masanilo Nyani Ngabu Ruttashobolwa Bishanga Erickb52 Mungi Filipo marejesho Mkuu rombo Chilli tedo gfsonwin BADILI TABIA Kongosho C6 charminglady Baba V Ciello Kipipi Judgement figganigga mzee wa mia. beibe nasty na wengine wote ambao sikuwatumia copy..

kwanza big up sana kwa aina ya u-mention wako.... pili ngoja wanaume wakujibu hilo swali....
 
Last edited by a moderator:
kwanza big up sana kwa aina ya u-mention wako.... pili ngoja wanaume wakujibu hilo swali....



Nashukuru shem wangu kwa C6 (hapa nimekubali matokeo) wacha niendelee kuwasubiri maana nimekesha hapa kila nikifikiria wanavyonipa Presha kila kona oa,oa,jamani kwani ni deni..??
 
Last edited by a moderator:
Watu wa Type yenu ndo mnaokula mama wakwe zenu. hebu imajin Black Cat uwowe mtoto wa charminglady, siku mkeo akiwa kasafiri kwenye unajimu wa kina mama wa kila mwezi afu charminglady akawa kaja kuwatembeleeni atapona kumiminiwa viprotini kiduchu kwa hisani ya binti yake? Mi nshawastukieni nyie watu wa bado mupo mupo....!!

afu babu Asprin ndo nini kunitolea mfano mie mke wa mtu asubuhi asubuhi??? ndo maana nilikiwa napata kwi kwi wakati wa mechi ya alfajiri lolest!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ee Bwana, Twakuomba utusikie.

Popote ulipo charminglady, hebu fanya juhudi kwa hisani ya watu wa Tanzania, Huyu Paka mweusi ajitwalie mke wa ndani ya uzao wako. Ili siku mwanao akinaniliyu, Huyu Paka afaidi matunda ya ndoa yake kwa kunaniliyu na naniliyu wa naniliyu wake. Tunaomba hayo kwa jina la bwana wenu ODM. Amina.

babuuuuuuu!!!!!!!
u have made my day... wachia mbavu zangu....
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe! Haya bana, kuna swahiba angu agemate wako kila tukimkumbusha kuwowa anasema eti "Namsubiri mama mkwe azaliwe"..... Kudadadadeki, hebu imajin mpaka mama mkwe azaliwe ndo amzalie mke yeye bado yupoyupo tu....:nimekataa

Asprin dugu moni
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom