St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
- Thread starter
-
- #21
Duh kumbe mt.paka mweusi bado anakopa eeeeh,aangalie asijeitiwa mwizi akapoteza uhai
Ee Bwana, Twakuomba utusikie.
Popote ulipo charminglady, hebu fanya juhudi kwa hisani ya watu wa Tanzania, Huyu Paka mweusi ajitwalie mke wa ndani ya uzao wako. Ili siku mwanao akinaniliyu, Huyu Paka afaidi matunda ya ndoa yake kwa kunaniliyu na naniliyu wa naniliyu wake. Tunaomba hayo kwa jina la bwana wenu ODM. Amina.
Bahati hizi mnaziachia,juzi nimekuambia utanizoea polepole ukaruka,ndema ni nataka hendsamu....haya bana mi bado niponipo sana tu...
Sema wanaziachia, mie sitaki kuharibu watoto sura kwann niwaponze watoto wakati options ninazo??
Wanakutisha tu! Mimi nimemwoa marejesho juzijuzi tu na nina thate something. Kula raha kwanza u.jinga ukutoke ndio uoe. Usije ukamletea wife utoto!
Kumbe Madame B ni m'bibi hivyo! Alipataje umiss? Duh....!? Namtafuta yule hakimu aliyetengua ubunge wa Lema! Lol.
Kiitikio : Eeee charminglady,twakuomba utusikie...
charminglady utusikie, charminglady utuhurumie.
Embu Madame B kam zis wei nikuone. Sitaki tena kukuona kwenye avatar maana nimeambiwa zinaficha mambo mengi!
Hivi hiyo makitu si ni December mkulu? Ngoja kwanza nisemezane na Ziraili mtoa roho za watu nione kama atanistahi mtakatifu mimi?mie simo! Halafu mbona hujasema lolote kuhusu safari ya Tanga babu!? Au ndio sapraizi?