St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
- Thread starter
-
- #41
mie simo! Halafu mbona hujasema lolote kuhusu safari ya Tanga babu!? Au ndio sapraizi?
Hivi hiyo makitu si ni December mkulu? Ngoja kwanza nisemezane na Ziraili mtoa roho za watu nione kama atanistahi mtakatifu mimi?
Thubutuuu!mringe mna ubavu? Nt in tz labda nchi zingine
Kwani huyu hakubahatika kukaguliwa au alipitia kwa Nicas Mtei.....??
Hapa kuna kaukweli mkuu,sababu yule binti yangu niliyenyimwa na Madame B sasa hivi ana miaka 19
Yule mtoto sio wako St. Paka Mweusi.
Nilizaa na yule mfanyakazi mwenzako wa kiti cha pembeni yako pale ofisini kwenu.
Nimechoka na pressure toka kila kona wakuu,kila kukicha unazeeka ,unazeeka na nikiuliza nazeeka kivipi wananiambia mpaka leo hujaoa tu bado unasubiri nini..??Au unataka wanao waje kukuita babu.Naomba ufafanuzi wenzangu hivi mwanaume mpaka aanze kuandamwa hivi inaonekana kuna walakini sehemu fulani.Ni lini na katika umri gani hasa mwanaume anapokuwa amezeeka na amechelewa kuoa..:crazy::crazy::crazy:
Copy: Arushaone Asprin Madame B Arabela zubedayo_mchuzi Preta Masanilo Nyani Ngabu Ruttashobolwa Bishanga Erickb52 Mungi Filipo marejesho Mkuu rombo Chilli tedo gfsonwin BADILI TABIA Kongosho C6 charminglady Baba V Ciello Kipipi Judgement figganigga mzee wa mia. beibe nasty na wengine wote ambao sikuwatumia copy..
kwanza big up sana kwa aina ya u-mention wako.... pili ngoja wanaume wakujibu hilo swali....
kwanza big up sana kwa aina ya u-mention wako.... pili ngoja wanaume wakujibu hilo swali....
Watu wa Type yenu ndo mnaokula mama wakwe zenu. hebu imajin Black Cat uwowe mtoto wa charminglady, siku mkeo akiwa kasafiri kwenye unajimu wa kina mama wa kila mwezi afu charminglady akawa kaja kuwatembeleeni atapona kumiminiwa viprotini kiduchu kwa hisani ya binti yake? Mi nshawastukieni nyie watu wa bado mupo mupo....!!
Ee Bwana, Twakuomba utusikie.
Popote ulipo charminglady, hebu fanya juhudi kwa hisani ya watu wa Tanzania, Huyu Paka mweusi ajitwalie mke wa ndani ya uzao wako. Ili siku mwanao akinaniliyu, Huyu Paka afaidi matunda ya ndoa yake kwa kunaniliyu na naniliyu wa naniliyu wake. Tunaomba hayo kwa jina la bwana wenu ODM. Amina.
Hehehehe! Haya bana, kuna swahiba angu agemate wako kila tukimkumbusha kuwowa anasema eti "Namsubiri mama mkwe azaliwe"..... Kudadadadeki, hebu imajin mpaka mama mkwe azaliwe ndo amzalie mke yeye bado yupoyupo tu....:nimekataa
charminglady utusikie, charminglady utuhurumie.
Nashukuru shem wangu kwa C6 (hapa nimekubali matokeo) wacha niendelee kuwasubiri maana nimekesha hapa kila nikifikiria wanavyonipa Presha kila kona oa,oa,jamani kwani ni deni..??
Leo nimepangiwa zamu ya usiku lindoni,halafu nina deni na wewe mkuu Arushaone
mambo? Nataka kuwa charming lakini sio lady kama wewe! Embu niuzie!?