Mwanaume anazeeka akiwa na umri gani..??

mimi naona iwe hivi....ili mjadala usiwe mreeeeeeefu.....mkuu @St Paka Mweusi ye aendelee kumega.....kwani nini bana....halafu hapo mbeleni ndio afanye uamuzi au asifanye kabisa.....we unaonaje.....?
yaaah......kwani nini bana!!
 
St. Paka Mweusi hakunaga kuzeeka kwa mwanaume ila tatizio ni pale unapokuwepo kuwepo inaanza kutia wasi wasi na yale ya mama anataka wajukuuu sasa wewe na kupita pita kwako huko hujamletea hata kajukuu kamoja akakaona huwa lazima aseme aise unazeeka
Na siku hizi kuna manesi bana wana maneno hao eti umri umeenda na wewe baba unapeleka chupa za chai mkeo amejifungua maneno yanaanzia na vicheko vya kimbea eti ulikuwa wapi umechelewa wapi mpaka muda huo hujamaliza haya mambo
 
Last edited by a moderator:
Inabidi uoe wewe kama unaona wakati umefika! Usioe kwa pressure za watu! Ila kwa wewe paka mweusi bora uoe sababu:::::.::::::::::::::::;:.:
ukioa kwa pressure unaweza ukaangukia kwenye
"Chuma chakavu"
source Zinduna

 
Last edited by a moderator:
Shabash,huu nauita ushauri wa mwaka na nimepata jibu la kuwapa wajomba....Na LIKE umeiona hapo Erickb52 ..??
Hahahhaaa St. Paka Mweusi umenichekesha aiseee
Heshima ya mwanaume iko hapo kaka...kama mtalimbo umelala dolo dah ni fedheha sana bora kukosa mikono kuliko huo ulemavu.
Jay Dee aliimba ...umelala huoo mtalimbo
 
Last edited by a moderator:
.......ukifika miaka 35!..........


Mh,kwa mtaji huu mi nishazeeka,lakini mbona bado naweza .. ??Na kadri siku zinavyokwenda ndio utendaji unavyoongezeka na ninajituma kwelikweli,sasa huu uzee huu ah ,wacha niache tu...
 
Inabidi uoe wewe kama unaona wakati umefika! Usioe kwa pressure za watu! Ila kwa wewe paka mweusi bora uoe sababu:::::.::::::::::::::::;:.:
ukioa kwa pressure unaweza ukaangukia kwenye
"Chuma chakavu"
source Zinduna


Nimekusoma Loya asante kwa ushauri...
 
Finally

some sense inakuja kwanini watu wamegoma ku-committ beyond 2-3 encounters za uhakika hata kama ni ndani ya siku 3

ponda mali kufa kwaja
Nilijua tu.......:majani7:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…