Mwanaume ashtakiwa baada ya kumtupa kwa nguvu mtoto wa Kiafghani chini

Mwanaume ashtakiwa baada ya kumtupa kwa nguvu mtoto wa Kiafghani chini

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,256
Angekuwa mtu mweusi Kila maistream media ingeweka hii video.

Ni Yale Yale mtu mwingine akiua watu kwa bunduki utaskia terrorist ila ngozi nyepe ataitwa a gunman who is mentally distorted.
=================
Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa la kushambulia mtoto wa asili ya Kiafghani kwa kumtupa kwa nguvu chini. Tukio hilo limelaaniwa vikali na jamii na viongozi wa haki za binadamu, likielezwa kuwa ni la kikatili na lisilokubalika.

 
Back
Top Bottom