Mwanaume asie na gari wala nyumba

Wengine ni wanamazingira ujue, wanaangalia "carbon footprint" yao.

Unaelewa ni kitu gani hicho?
 
We mleta mada atakayekuoa atapata shida sana
Nina mashaka na halmshauri ya kichwa chako.
 
Hasara ROHO, Pesa MAKARATASI
[emoji848][emoji848] u can hav anything u want but without PEACE OF MIND beta having nothing mkuu
 
JF bhana ndo tatizo hadi la watoto wa kidato cha pili kuwa member humu yani mtoa mada kama sio kidato cha pili basi cha tatu ndo anabalehe balehee
 
mwanaume upo mjini miaka 40 elimu ya chuo kikuu . huna mke/au unae ila ,huna gari huna nyumba unajisikiaje?
Hivi ungeamua kunyamaza kimya bila kuuliza hili swali kwani ungepungukiwa na nini? Kwanini unapenda kuharibia watu siku zao? Unamaanisha ni bora wangekula ada zao maana hazijawasaidia?
 
Safi sana huyo jamaaa limbukeni tu
 
Labda nyumba, gari kama ni lazima sana kama vile Dar kuwa na gari ni vizuri zaidi kwa kweli.
 
mwanaume upo mjini miaka 40 elimu ya chuo kikuu . huna mke/au unae ila ,huna gari huna nyumba unajisikiaje?
Ooh ndiyo maana mnang'ang'ania mikopo ya varsity mkidaiwa inakuwa ishu,jueni elimu nchi hii siyo kutajirika ni kutumika tu.
 
mwanaume upo mjini miaka 40 elimu ya chuo kikuu . huna mke/au unae ila ,huna gari huna nyumba unajisikiaje?
Kweli akili ni nywele yaani baada ya kufikiria Furaha yako na Pesa zako unawaza maisha ya watu, Akili zako zipo kwenye gari na nyumba shauri yako utakuja liwa kirahisi kwa kutumia gari la kuazima chezea mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…