Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuja utume nauli bas [emoji23]Sipo call me j nipo chattle.
Kama utaweza ukuje kwa kweli
Kopa vikoba [emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]nakuja utume nauli bas [emoji23]
hahahhhh sipogo uko mmKopa vikoba [emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]
Si hupendi pesahahahhhh sipogo uko mm
kwan wanaopenda pesa wote wapo vikoba [emoji23] usiniambie na ww upo hukoSi hupendi pesa
Wote wakiwa na magari patatodha unadhanimwanaume upo mjini miaka 40 elimu ya chuo kikuu . huna mke/au unae ila ,huna gari huna nyumba unajisikiaje?
Mi nipo vibegi vikoba vinabeba vichache..kwan wanaopenda pesa wote wapo vikoba [emoji23] usiniambie na ww upo huko
hahahhah kumbe wakina espy wana vikoba vyao mm sitakiMi nipo vibegi vikoba vinabeba vichache..
Waambie kina espy wakuunge
Hivi ungeamua kunyamaza kimya bila kuuliza hili swali kwani ungepungukiwa na nini? Kwanini unapenda kuharibia watu siku zao? Unamaanisha ni bora wangekula ada zao maana hazijawasaidia?mwanaume upo mjini miaka 40 elimu ya chuo kikuu . huna mke/au unae ila ,huna gari huna nyumba unajisikiaje?
Safi sana huyo jamaaa limbukeni tuhahaha, namshukuru Mungu hivyo vyote ninavyo, lakini sio kwa uwezo wangu, ni kwa neema ya Mungu tu. ndugu yangu, usimdharau mtu hapa duniani, kuna watu wana majumba hata kumi na magari ya kutosha na ya garama, lakini hawawezi kuyatumia...kuna jamaa namfahamu ni tajiri sana, alikuwa na kuburi kama wewe, alipata ajali ni mtu wa kulala tu. nyumba kauza karibia anamaliza zote ili akatibiwe mara india, mara ulaya na watoto amezaa wengi wanasubiria afe lini waanze kugombania. unaweza kuwa na gari usiweze hata kushika usukani, unaweza kuwa na nyumba usiweze hata kulala ndani yake kwani utakuwa unalala hospitalini muda wote tena peke yako ICU...wakati asiye na kitu analala na mke wake home kwenye nyumba ya kupanga ana furaha zote pamoja na kwamba anapanda daladala. hivyo don't define life kwenye vitu kwasababu kuna watu wana vitu lakini hawana furaha ya maisha wengine hadi wanajiua....wakati mamangu kule kijijini ukimwambia kuna tajiri mmoja mkubwa sana amejiua anakushangaaa kwamba alikuwa na shida gani kwani kama nyumba anzo, kama hotel anazo, kama magari anayo ana kila kitu lakini ndio hivyo hana furaha wala amani. definition ya life sio ya kukurupuka. tema mate chini. na si ajabu ndio mara yako ya kwanza leo kununua gari, wakati wenzio hayo magari tumeendesha miaka mingi sana na hatudharau wasio nacho.
Ooh ndiyo maana mnang'ang'ania mikopo ya varsity mkidaiwa inakuwa ishu,jueni elimu nchi hii siyo kutajirika ni kutumika tu.mwanaume upo mjini miaka 40 elimu ya chuo kikuu . huna mke/au unae ila ,huna gari huna nyumba unajisikiaje?
Hukuona yule wa kwenye ule uzi anakoba cha trahahahhah kumbe wakina espy wana vikoba vyao mm sitaki
Kweli akili ni nywele yaani baada ya kufikiria Furaha yako na Pesa zako unawaza maisha ya watu, Akili zako zipo kwenye gari na nyumba shauri yako utakuja liwa kirahisi kwa kutumia gari la kuazima chezea mjinimwanaume upo mjini miaka 40 elimu ya chuo kikuu . huna mke/au unae ila ,huna gari huna nyumba unajisikiaje?