Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

Kilevi chetu kipo lakini chaajabu amesahau kukitaja mbona mambo yako wazi.🤣
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.

Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Unataka anywe pombe au awe na mashine thabiti ya kukusagia
 
Kwahiyo hizo ndo Principle zenyewe?
Uma miaka mingapi we bint usiejitambua?
Tabia za Baba, Kaka na Bwana zako unazifanya kua Normal Character of best men? Hata hujui unataka nini maskin!
Uhuni sio sifa, sifa ni uelevu.
Huu ni msiba mzito😁
 
Na sisi wavaa mashati ya vitenge je tunakuvutia?
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.

Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Na yeye anakuona wewe una mapungufu

1754820030520.jpeg
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.

Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Kiswahili sanifu neno upungufu halina wingi,hivyo hakuna mapungufu ni upungufu iwe ni wingi au umoja,ni kama ilivyo saa,haina wingi hivyo hakuna masaa,ni sawa na dawa ni dawa tu hakuna madawa
 
Huyo ni Mimi Yani mdaa mwingi ulikua natumia kubadilisha wanawake kwa siku wawilii
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.

Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Moja ya ulemavu wa kudumu ni kujitahidi kumwelewa kila mtu. Wewe ni mmojawapo wa watu wenye ulemevu wa kudumu.
 
Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo.

Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
Kilevi chetu ni kufunua chupi kwa sana
 
Back
Top Bottom