platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Mdada wa Watu wa Wadada wa Watu?Tatizo linakuwa kwa wanaume kutaka kujionyesha kuwa matawi ya juu. Agiza chochote utakacho unategemea nini. Mdada wa watu hajawahi kunywa sminof vodka ndiyo atataka kuijaribu.