Mwaka wa Mbele
JF-Expert Member
- Mar 5, 2026
- 1,013
- 3,017
ila ni wa kumuhurumia.Naona Red-me kaja kivingine,kabadili gamba tu.
ID hii kajidai ni mwanamke.
Ila ile alianza kuwa mwanaume alafu eti akabadili jinsia na kuwa KE kwa Mill 2 😂😂😂😂.
Dah. Madogo hawa.
Hata sijui uanzie wap kuwasaidia.
Ila kwa hakika red me na huyu mwanetu wako kwenye lile kundi la bibi na bwana.