Mwanaume bila hela ni sawasawa na mti bila matunda

Mwanaume bila hela ni sawasawa na mti bila matunda

Na hilo ndo kosa alilofanya Baba ako alizubaa sana ona leo masela zake wanavyokulala kwa hongo ndogo ya basic needs.
 
Dogo ulienda kuitumikia visiwan umerud usisahau kutumia dawa za bawasiri na matunda mengi kulinda afya hiyo
 
Hata wanawake pia wana vigezo wanatakiwa kuwanavyo ili wawavute hao wanaume wenye hela. Vinginevyo wataishia na masikini wenzao.

Hao wanaume wenye hela wana options nyingi, kwaiyo hauwezi ukawaendea tu na sura ya baba na shepu yako ya sanamu la michelin. Lazima uwe pisi ya kueleweka.
 
Back
Top Bottom