Mwanaume bila hela ni sawasawa na mti bila matunda

Naona Red-me kaja kivingine,kabadili gamba tu.
ila ni wa kumuhurumia.

ID hii kajidai ni mwanamke.
Ila ile alianza kuwa mwanaume alafu eti akabadili jinsia na kuwa KE kwa Mill 2 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Dah. Madogo hawa.
Hata sijui uanzie wap kuwasaidia.

Ila kwa hakika red me na huyu mwanetu wako kwenye lile kundi la bibi na bwana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hakika bro.

Huyu ni Red me. Nimeamini
 
Sasa hivi kawa binti tenaπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…