Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 111
- 223
Kumekua na janga kubwa la wanaume si vijana kwa wazee kuchunwa, kutumia pesa nyingi kwa mwanamke bila manufaa yoyote na lengo kuu la mwanamke huyo ni kutumia pesa au mali zako na mwisho wa lengo lake anakuacha na msongo wa mawazo na pressure.
Kuepuka kutumika na mwanamke fanya yafuatayo
* Weka kiwango cha matumizi kwake kutokana na mfuko wako na ukomo wa matumizi. Kama una uchumi wa chin ya dola moja weka mwisho elfu 50 akitaka vocha mpe akitak vitu vidogo vidogo ila kama imefika iyo na ata busu lake haulijui lina ladha gan shtuka.
* Epuka kuwa mtu wa kuomba msamaha au kuwa mpole kupitiliza kwake (nice guy) muda mwingne kuwa alfa kwa mfano baada ya kusema naomba tukutane jion kula dinner ondoa neno naomba tumia nahitaji tutoke wikiend.
*Usijionyeshe kama unacho sana kuwa real tu kama kakuelewa utampata tu kaja kwako usione aibu kumlisha tembele na dagaa au na kachumbari
* Epuka kuwa chaser utakua kero kwake na usimtreat mwanamke kama queen atakutreat kama servant, sio muda wote una mtxt umekula ndo hapo utapigwa kizinga. Angekua na njaa angekutafuta.
*Jifunze pia kusema hapana. Usiwe mr yes
Chochote atacho taka wew sawa, akiomba chochote sawa, ata kama unacho mda mwingne sema hapana au sina
To be continue...