Mwanaume, fanya hivi kuepuka kuchunwa

Mwanaume, fanya hivi kuepuka kuchunwa

Epuka kuwa mtu wa kuomba msamaha au kuwa mpole kupitiliza kwake (nice gay) muda mwingne kuwa alfa kwa mfano baada ya kusema naomba tukutane jion kula dinner ondoa neno naomba tumia nahitaji tutoke
Nice guy na sio nice gay.

Gay ni mwanaume msenge/anaingiliwa kinyume na maumbile.
 
Mimi nalibibi flani lizungu ni pensioner. Yani nampigaga mizinga balaa. Kuna wakati anakataa kutoa hela namtishia nitajiua anasema nonono mara kitu kinatulia kimiani kwenye account.

Sisi huku tunahongwa nyie midume thed weld dwellers endeleeni kuhonga tu na hayo madafu yenu.

Nyau de adriz
Eeeh yaani kumtishia kujiuwa anatuma hela jamani kwani wenzetu mpo dunia gani nyie..?
Ila wazungu wana pepo yao 🤣🤣🤣
 
Wanawake wana akili kutuzidi! Wanajua ugonjwa wetu ni ngono na hapo ndipo wanapotukamatia! Mwanamke anautoaje mwili wake hivi hivi bila pesa?
 
Wanawake wana akili kutuzidi! Wanajua ugonjwa wetu ni ngono na hapo ndipo wanapotukamatia! Mwanamke anautoaje mwili wake hivi hivi bila pesa?
Sijui muulize mwenyewe hapo anakuvuliaje bila pesa
 
Watanzania madem wanaamin kupewe hela ndio kupendwa
Umetisha, Broo mwanamke wa Kitanzania ukimpa pesa ndo anaona unampenda pia wanaamini ktk Kuhudumiwa.
Ukimtongoza tu utasikia "utaweza kunihudumia"
 
Back
Top Bottom