LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Usije sema hukujua.
Siku hiyo akina Zai watakuwa kama wote.
Halafu kama mtakodi gari kutoka Dar kwenda Mtwara hakikisheni mnakuwa na UMOJA, mwenzenu akipigwa gari zima mnakuwa MASOJA.
N.B: palikuwaga panaitwa "MTWARAHA" Nyerere akaikata hiyo RA ili ibaki Mtwara maana alijua watanzania wote wangekumbilia Mtwara.
Jina MTWARAHA linatoka na Mlima WARAHA unaopatikana Mtwara . So waingereza waliwatoa "MOUNTWARAHA" wamakonde wakashindwa kutamka hivyo wakawa wanapaita " MTWARAHA" then baadae Nyerere akaja akaifuta Raha ikabaki Mtwara. Hata raha bado zipo pale pale Mtwara.
Mtwara- Raha