Mwanaume,Fuata njia hizi, Mwanamke hakukatai ng'oo

hivi huo muda wa kumfuatilia demu miez 2 na maisha haya unautoa wapi labda?
Au na ww ni mtoto wa mama nn?
 
Mkuu Kwani wewe ulitumia hizo njia kumnasa shemeji yetu?? Tuanzie hapo isije ukawa unacopy na kupaste bure...
 
Ni njia ndefu sema faida yake ni kwamba ukishaanza kumtusua Mara ya kwanza tu siku zinazofuata utakua unachenjua hiyo makinikia bila gharama yoyote mpaka utakapochoka
 
Huo muda wa kutongoza mwanamke miezi miwili unautoa wapi wakati papuche zipo kibao. Week tu inatosha asipokuelewa unahamia kwa mwengine
 
Nakushauri Mwanamme Njia Rahisi ya kumpata Mwanamke yeyote Mrembo unaetamani kuwa nae Ni moja tu we Tafuta hela,yaani uwe na Hela Isiyo ya mawazo,Mpatie hela yaani we mpatie tu hela narudia tena mpatie hela hutahangaika hata kumuomba namba Atakuomba yeye, na text atatuma yeye na kukupigia atakupigia yeye Hela ndo chambo cha mwanamke yeyote Hata kama una kibamia ukiwa na hela atakusifia kuwa una dushe balaa hela,hela hela
 

Manyangema mnakazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…