Mtoa mada atoe picha ya babu mzaa babu yake tuone alivaa je? Muwe mnaenda Makumbusho muone tulikotokea siyo kusema heshima oho. Mimi ni mtu mzima siwezi vaa kimini ila siwezi mpangia mtu ambaye bibi zake walivaa magome ya miti tena kufunika mbele na nyumba mpaka walipokuja wakoloni kuwafundisha kuvaa nguo ndefu.wazee wetu walikuwa wanajifunga majan tu kuzba pumb
Wazungu walipoona waafrika kuvaa fupi wanapendeza, nao wakaanza. Mnasema tunawaiga? Ingia historia ya ulaya kuanzia karne ya kumi hadi ya 19 uone mavazi wa wanawake na wanaume wa huko walivyovaa. Mfano angalia picha za uhuru wa Tanganyika. Nani walivaa nguo fupi kama siyo waafrika lakini wazungu wote ni ndefu.