Mwanaume gani una vaa ki bukta?

Mwanaume gani una vaa ki bukta?

Binafsi siwezi kuacha kuvaa kaptura (enzi za pensi tulishavuka) kwahiyo wewe imba tu ukichoka zima maiki lala.

Ukiwa na mwili una mazoezi kuna tatizo nikikuonyesha calves?

Nigga don't be mad shit is classic
 
Very True......huyu jamaa atakuwa 'MSHAMBA MAV...I'...manake hakuna uhusiano wa kaptura ya kawaida na urijali
 
watanzania mnahangaika sana aisee,mnasemana hadi mavazi sasa,hakika huu ni ukosefu wa cha kufanya na utapiamlo wa fikra ndio umetufikisha hapa....
 
Nahisi unamsema mtangazaji CAsto dickson wa clouds.
 
Back
Top Bottom