whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
[emoji1][emoji1][emoji1]sijui hata asee niliipata sehemu tuWanaume wa Dar kwa pozi tata, hivi huyu si ni Peter Mnyika?
Kwani wewe ulitakaje?Katika comment zote umeona comment yangu tu
Binafsi siwezi kuacha kuvaa kaptura (enzi za pensi tulishavuka) kwahiyo wewe imba tu ukichoka zima maiki lala.
Ukiwa na mwili una mazoezi kuna tatizo nikikuonyesha calves?
Nigga don't be mad shit is classic