The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mkuu usinifanyia hivyo 😂😂.Nakuombea ukakutane na pisi imetumika week 3 nyuma ikaungua ukapiga hio bioline ikasoma negative ukapeleka dry ukachubuka uukwae
Hahaha. Kwa hiyo bora kutokutumia kabisa, sio?😂Wapo walotumia hizo zana tena na zaidi lakini wamekufa kwa ngoma....
Hapana mkuu, hii ni tahadhari tu maana mimi ni sexually active man, hivyo naweza kuona mtoto mzuri akanimaliza nguvu maana huo ndio udhaifu wangu mkubwa.Unaenda Ziara ya Kimapenzi Nyanda za juu kusini.....
Nimejaribu ku-view profile yako naona uzi wa mwisho kuangalia ama kukomenenti unaitwa uzi wa kupeana likes, halafu unaniita mimi dogo.Dogo,
ungekuwa na mke ungemwambia hiyo KY & co. unapeleka wapi?
Hahaha. Kwa hiyo bora kutokutumia kabisa, sio?😂