42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Mkuu niuzie test kitKesho nasafiri kwenda Nyanda za Juu kusini na kisha nitaenda Kigoma, mojawapo ya vitu vya muhimu siwezi kuacha ni hivi hapa chini.
Mwanaume hakikisha hukosi hivi vitu kwenye hazina yako uendapo popote.
NB: KY ni kwa ajili ya kulainisha kuhakikisha hakuna mchubuko na sina matumizi nayo zaidi ya hilo. Maana short sighted people hamkimbilii kusema hiyo jelly inatumika nyuma kama mlivyokariri wakati ni lublicants ambayo inaweza kutumika kuondoa mchubuko.
View attachment 1963008