Mwanaume hakikisha hukosi vitu kama hivi kwenye hazina yako

Mkuu niuzie test kit
 
Nikiangalia comments za watu wengi wanasema eti hapo hamna ndomu.
 
Muhimu sana hiii
 
Nauza durex gel wakuu
 
Juzi kati kuna bar maid wangu wa enzi hizo chuo nilikua nakula,after kupotezeana miaka kadhaa ,nimekutana nae,akanikaribisha ghetto kwake kabla sijamla nikaona anavuta droo lake akatoa hizo dhana tukapimana then ikapigwa show moja heavy.
 
naziona zana za kivita za siku hizi....hakika nawaambieni vijana wa kileo tungekuwepo enzi za kudai uhuru haki vile tusingepata uhuru hadi leo tungekuwa tunatawaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…